KIKOSI cha Yanga kikiupiga mpira mwingi kwa mtindo wao wa 'Gusa Achia Twenda Kwao'kimefufua tumaini la kutinga robo fainali ...
STRAIKA Alexander Isak amefunga tena akiendelea kuwasha moto kuisaidia Newcastle United kutoka nyuma na kuichapa Tottenham ...
YANGA ikiwa inapambana uwanjani leo jioni ikiizamisha TP Mazembe kwea mabao 3-1, jukwaani akaonekana mshambuliaji mpya, Jonathan Ikangalombo, ambaye Mwanaspoti liliwaripotia kwamba yupo hatua ...
Marcus Rashford amekataa ofa tatu kutoka Saudi Arabia zinazofikia mshahara wa Pauni35 milioni kwa mwaka huku hatima yake ndani ya Manchester United ikiwa katika mabano.
Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya ...
MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba ...
MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba ...
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita ya DR Congo aliyewahi kumfundisha, winga mpya wa Simba, Elie Mpanzu amefichua kama Wekundu wa Msimbazi wanataka kumfaidi vilivyo nyota huyo basi kocha ...
BAADA ya Yanga kumalizana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa nyumbani jana, leo Jumapili ni zamu ya Simba iliyopo ugenini ambayo itavaana na CS Sfaxien ...
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema mshambuliaji mpya wa kikosi hicho raia wa Mali, Amara Bagayoko atakuwa na msimu ...
KIUNGO aliyekuwa anatajwa kujiunga na Yanga na ghafla dili lake kukwama, Kelvin Nashon ametoa sababu za kukwama kuwa ni ...
MABOSI wa Tabora United wapo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kipa namba moja wa timu ya taifa ya Gabon, Jean-Noel Amonome.