BAO pekee lililowekwa kimiani dakika 41 na kiungo Fabrice Ngoma limeiwezesha Simba kujihakikisha kuuaga mwaka 2024 na ...
KATIKA Ligi Kuu Bara, upepo umegeuka. Simba na Yanga na nyota wa kigeni wamepindua meza kama utani na kuifanya ligi iliyopo raundi ya kwanza ya duru la pili, hali iwe tofauti na ilivyokuwa awali ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa ndio kwanza imeanza duru la pili na ikienda kusimama hadi Januari 20 mwakani, aliyekuwa kipa wa ...
WAKONGWE wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' na Mlimani Park 'Wana Sikinde' ni miongoni mwa bendi 10 ...
WAKATI kipa Diarra Djigui, Clatous Chama na Yao Kouassi wakiwekwa chini ya uangalizi maalumu wa kitabibu, nyota wawili wa ...
KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho amefunguka akikiri kuwa mziki wa Azam ndio unaowanyima raha kwa namna wanavyokutana na upinzani ...
AARSENAL imeingia katika vita ya kutaka kumsajili kiungo wa Barcelona, Dani Olmo katika dirisha lijalo la majira ya baridi ambapo itatakiwa kuzipiku Manchester City na Manchester ...
KOCHA Ruben Amorim anafahamu wazi mashabiki wa Manchester United wamechoshwa na mwenendo wa klabu yao kwa sasa.
MANCHESTER, ENGLAND: MANCHESTER United inafikiria kusajili kipa mpya, huku kinda wa Kibelgiji, Senne Lammens akiwekwa kwenye ...
LONDON, ENGLAND: KOCHA mkuu wa Chelsea, Enzo Maresca amewapiga mkwara mastaa wote wa timu hiyo kwamba wanapaswa kucheza kwa ...
STAA wa Arsenal, Bukayo Saka anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli ya paja ...
STAA, Trent Alexander-Arnold amewaambia mabosi wa Liverpool kwamba hatasaini mkataba mpya na anachotaka ni kwenda kujiunga na ...